Nimepata fursa yakuudhuria Semina ya Walimu hapa #Highlands255 Morogoro, tunajifunza kuhusu #MAARIFA.
Siku ya kwanza tumejifunza herufi tatu ambazo ni;
M- Mwalimu ni MTU muhimu sana katika kila Taifa katika kuleta MAARIFA.
A- Mwalimu athaminiwe na Taifa zima kwaajili ukuaji wa kweli kwenye maendeleo ya nchi.
A- Mwalimu ajiongeze ili utoaji wa #Elimu ya nchi yetu, tumia ubunifu kwenye kazi yako kwa manufaa ya Taifa letu.
Nadhani na wewe mdau wa Elimu Afrika umenufaika na uwepo wangu kwenye #Semina hii.
"Jitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wako na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"
Endelea kunufaika kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika na www.elimuafrikatz.blogspot.com #SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments