ELIMU HAINA MWISHO

Nimeshauri #Highlands255 kutanua wigo wa kuwaalika makundi mengine ya kijamii kuhudhuria semina zao. Nimependekeza makundi kama ya bodaboda, madereva, wajasiriamali, walemavu, makondakta n.k.

Kimsingi walimu wamejifunza maswala mbalimbali yakimaisha, ubunifu, kuonyesha vipaji na kushiriki michezo unganishi itakayojenga umoja na mshikamano miongoni mwao.

Kwa mambo zaidi ya kielimu tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika na www.elimuafrikatz.blogspot.com #SiasaIsiingilieTaaluma.

0 Comments