Siku ya pili ya Semina ya Walimu hapa #Highlands255 Morogoro, tunajifunza kuhusu #MAARIFA.
Niliongoza mjadala kuhusu Mada isemayo;
Je teknolojia inachangia kuboresha Elimu na Maadili?
Mjadala ulikuwa mkali, mzuri na wakusisimua. Mwisho wa yote tulihitimisha kuwa;
Teknolojia ikitumika vizuri itachangia kuboresha Elimu na Maadili, isipotumika vema itakuwa kinyume chake.
Elimu Afrika
Nadhani na wewe mdau wa Elimu Afrika umenufaika na uwepo wetu kwenye #Semina hii.
"Jitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wako na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"
Endelea kunufaika kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika #SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments