MAREKANI: Watoto wanne wa kitanzania wenye ualbino wapata mikono ya bandia baada ya kukatwa mikono yao na watu wasiojulikana kwa imani za kishirikina.
- Hospitali ya Shriners iliyoko Philadelphia, imewapatia mikono hiyo ya bandia ili iweze kuwasadia kufanya shughuli zao za kila siku.
0 Comments