Je wajua Arusha School ndio shule ya KWANZA ya mtaala wa kimataifa (International School) Tanzania? Kwa sasa ndio Shule Bora ya mtaala wa kingereza (English Medium) kongwe inayomilikiwa na Serikali.
Kaa tayari kwa mazuri kuhusu Arusha School.
Tufuatilie kupitia Elimu Afrika, Instagram, Facebook, Twitter na YouTube.
#SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments