TUACHE ZIMA MOTO MASHULENI

Katuni hii ya muda mrefu, inanikumbusha ZIMA MOTO zinazofanyika kwasasa kwenye Sekta ya Elimu kinachoendelea ni kukaririsha majibu na maswali badala ya kufanya Taaluma inavyohitaji.

0 Comments