SURA YA MWALIMU (IKO KWENYE SINTOFAHAMU)


Sura ya mwalimu leo ni ya kutoelewa/ sintofahamu kuhusu Sera ya Elimu ya 2014.

Kweli Sera hii tunaisikia, nimewauliza wenzangu nao wanasema "wamesikia" iko hivi au iko vile. Kwa ujumla walimu hawaelewi/ wapo kwenye sintofahamu.

Nadhani ushirikishwaji ulilegalega, nishauri Wizara ni vema wakaandaa namna elekezi kwa walimu, jamii na wadau wa elimu wote kuhusu Sera hii muhimu kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Elimu Afrika

0 Comments