TUWAADHIBU WATOTO KWA KUJALI UTU / HAKI ZAO

#Elimu bure Tanzania, wazazi na jamii hupitia changamoto ya nidhamu hasa utoro, ila jamii hii  huwapeleka wanafunzi shule wakitegemea walimu wafanye muujiza wanafunzi kama huyu awe mtaalamu au kiongozi wa nchi.

Nashukuru mzazi huyu kuungana na walimu katika kumrekebisha mwanae, ila nadhani mzazi amemkatili sana wanae na kimsingi hii sio namna njema ya kumuadhibu mwanafunzi.

Kweli ninawasisitiza walimu, wazazi, serikali na wadau kusaidia katika taaluma na nidhamu ila isiwe kinyume cha haki za binadamu.

#TuadhibunakuthaminiUTU @ Tanzania

0 Comments