Mhe. Rhoda Kunchela, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Katavi, atembelea shule za Msingi Nyerere, Azimio, Kashato zote za Manispaa ya Mpanda, na kutatua baadhi ya changamoto zinazokabili sekta ya Elimu Mkoani Katavi.
Mh. Rhoda Kunchela alitatua changamoto hizo kwa kutoa vitu kama sabuni, mchele, unga, mafuta ya kupikia, miswaki na dawa, mafuta ya kupakaa, madaftari.
#UongoziniUpendo
"Jitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wako na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"
Tufuatilie kupitia, Instagram, Facebook, Twitter,YouTube na
www.elimuafrikatz.blogspot.com #SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments