WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU WAOMBA MSAADA


Watoto wenye mahitaji maalumu wanafunzi wa shule ya Msingi Utegi Wilayani Rorya Mkoani Mara wakiwa katika ibada takatifu kanisa la Waadventista Wasabato Utegi ambapo wanafunzi hao wanakumbwa na changamoto mbalimbali wameiomba serikali kutatua changamoto hizo.

Changamoto kubwa waliyobainisha ni upungufu wa Majengo, vyoo rafiki, vifaa vya kutumia kwa watoto wenye ulemavu wa Macho pamoja na ulemavu wa Viungo.



0 Comments