ELIMU YA BIMA YA AFYA YATOLEWA KWENYE KONGAMANO LA ELIMU, ARUSHA.


 Ndugu Godfrey Tawete ambaye ni wakala wa Micro Health Initiative (MHI) ya Kilimanjaro akielimisha wadau wa Elimu  katika Kongamano lililoandaliwa na Elimu Afrika, Godfrey alieleza kuhusu umuhimu wa Bima ya afya na kueleza huduma watoazo wao kama MHI.
 Ndugu Godfrey Taweteakisisitiza jambo kwenye Kongamano la Elimu, Arusha School.

 Ndugu Godfrey Tawete akijadili na mdau wa elimu kwenye Kongamano la Elimu.








0 Comments