NMB YATOA ELIMU YA FEDHA KWENYE KONGAMANO LA ELIMU, ARUSHA

 Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Elimu Afrika Mwl Daniel Urioh akiwakaribisha wafanyakazi Jackline Sanga na Joseph Mangalu wa NMB-Clocktower Arusha kutoa Elimu ya Fedha kwa wadau wa Elimu yaani walimu, wazazi na wanafunzi waliohudhuria kongamano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Elimu Afrika, Jumamosi tar 24/3/2018, Arusha School Jijini Arusha.
 Bi Jakline Sanga akielimisha kwenye Kongamano la Elimu, Arusha School.
  Ndugu Joseph Mangalu akielimisha kwenye Kongamano la Elimu, Arusha School.
 Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Elimu Afrika Mwl Daniel Urioh akifurahia jambo na wafanyakazi wa NMB, Arusha Bi.Jackline Sanga na Joseph Mangalu.
Bi. Jackline Sanga akielimisha wadau wa elimu kuhusu elimu ya fedha na huduma zitolewazo na NMB.

0 Comments