SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA 2014 ILIJADILIWA KWENYE KONGAMANO LA ELIMU, ARUSHA

Mwalimu Jesse Joseph akielimisha kwenye Kongamano la Elimu lililoandaliwa na Taasisi ya Elimu Afrika, Arusha School Jijijni Arusha. Ndugu Jesse Joseph alijikita kuhabarisha historia na yaliyomo katika Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014.

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Elimu Afrika Mwalimu Daniel Urioh na Mwalimu Jesse Joseph katika pozi baada ya Kongamano.

Watoa Mada

Kongamano lilipokolea na Elimu Kufika mahali pake

Wadau wa Elimu wakitafakari maswali katika makundi kabla yakujibu

0 Comments