Shule moja nchini Ghana wazawadiwa Kompyuta na kampuni ya nchini marekani baada ya kuona kwenye mitandao yakijamii mwalimu nchini humo akifundisha somo la Kompyuta kwa kuchora ubaoni.
Tujifunze, pamoja na changamoto zote za sekta ya elimu, tuendelee kutekeleza wajibu kwani huwenda katika kutekeleza huko tutaishaidia nchi.
Elimu Afrika
0 Comments