Huu ndio msaada ulitolewa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa kwa ajili ya kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga, nje kidogo ya manispaa ya Iringa kwa lengo la kuwapa faraja ya kusherekea sikuku ya pasaka wakiwa na furaha.
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga wakiwafurahia kupewa zawadi ya pipi ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa.
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga wakiwafurahia kupewa zawadi ya pipi ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa
0 Comments