UZINDUZI WA KITABU CHA TIBA YA DHARURA, DAR




Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma leo amezindua  kitabu cha  tiba ya dharura 'Basic Principles of Emergency Medicine' kwa ajili ya wanafunzi wa digrii ya udaktari wa binadamu Tanzania.  Mwandishi Mkuu ni Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Dharura, MUHAS Dkt Hendry Sawe.

0 Comments