WIZARA YA ELIMU YAWASILISHA MAKADIRIO YA TRILION 1.4 KWA 2018/19.

Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za zaidi ya shilingi trilioni moja na bilioni mia nne kwa ajili ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika sekta ya elimu kwa mwaka wa fedha 2018/19.

0 Comments