CHUO KIKUU ARDHI CHATOA MWONGOZO KWA SHULE ZA SEKONDARI, DAR




Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Zanaki waliposhiriki programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Tambaza jijini humo.






Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea banda mojawapo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.





Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania waliposhiriki maonesho yaliyoandaliwa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.



Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la ARU kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.



Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo sehemu ya wageni waliohudhuria maonesho ya ya programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.





Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Hadija Maulid akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea maonesho hayo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.





Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akimpa maelezo mmoja wa wageni alipotembelea maonesho ya programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.





Sehemu ya wanafunzi wakipitia vipeperushi vya maelezo ya michepuo ya masomo mbalimbali yatolewayo katika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) walipotembelea maonesho yaliyoandaliwa na chuo hicho.





Sehemu ya wanafunzi wakijadiliana jambo walipotembelea maonesho ya programu mbalimbali zinazotolewa na Chuo Kikuu Ardhi (ARU) jijini Dar es Salaam.





Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo sehemu ya wanafunzi wa shule za Sekondari waliposhiriki maonesho kujionea programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam





Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Latifa Rashidi akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari ya Zanaki walipotembelea moja ya banda katika kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.





Afisa Uhusiano wa Mwandamizi Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mary Kagosi akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la chuo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.





Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Hadija Maulid akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.





Sehemu ya wanafunzi wakijadiliana jambo.





Sehemu ya wanafunzi wakipitia vipeperushi vya maelezo ya michepuo ya masomo mbalimbali yatolewayo katika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) walipotembelea maonesho hayo.


0 Comments