Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(katikati)akiwa na watumishi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akikagua moja ya Karakana ya Mitambo inayofanyiwa ukarabati. |
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia)akikagua moja ya makontena yenye vifaa mbalimbali kwaajili ya mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) |
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika moja ya Maabara ya Chuo hicho. |
Wafanyakazi wa Chuo cha Ufundi Arusha wakimsikiliza Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako. |
0 Comments