Kwenye vitu vizuri hunikosi, nikiwa ndani ya Ukumbi wa Mikutano nikisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA |
Ukumbi wa Mikutano JIJI LA ARUSHA |
Waalimu walioripoti kazini wakisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA |
Waalimu walioripoti kazini wakisubiri maelekezo toka kwa Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA |
Waalimu walioripoti kazini wakiwajulisha ndugu, jamaa na marafiki wamepangiwa JIJI LA ARUSHA |
0 Comments