Wahenga walisema "Bora kinga kuliko tiba".
Kwa nukuu hii; ninapenda kuwashauri vijana na hasa wanafunzi kupunguza au kutotumia kabisa 'headphone au hear phone' kutokana na madhara makubwa yaliyogundulika kisayansi.
Wanasayansi hasa madaktari bingwa wanaeleza wazi kuwa matumizi ya vifaa vya sauti masikioni (Headphones) vyaweza kufifisha usikivu na baadae kupelekea mtu kuwa Kiziwi, si kila kiziwi alizaliwa hivyo vingine twaweza sababisha kwa kuiga au kukimbizana na fasheni.
Elimu Afrika.
Tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika na www.elimuafrikatz.blogspot.com #SiasaIsiingilieTaaluma.
0 Comments