TCU YATANGAZA NEEMA


TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "Recognition of Prior Learning(RPL)" kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na Shahada.

Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo vilivyoainishwa, na kwa wale watakaofaulu mtihani watapata nafasi yakujiunga na shahada chuo chochote hapa nchini kwa mwaka huu wa masomo.

Muda wa maombi ni kuanzia 01.06.2017 mpaka 24.06.2017

Kwa Maelezo zaidi tafadhali piga 0759009281, 0655414145 au 0778888960

Karibuni Sana

0 Comments