WIZARA IONGEZE JITIHADA KWENYE ELIMU MAALUM HASA YA VIZIWI

Nimemtembelea rafiki yangu Christopher, nimeona ufanisi wa kazi yake hapa shuleni, nimeshangazwa kuona #Overheadprojector pekee yakufundishia wanafunzi wenye mahitaji maalumu(Viziwi) ambayo kwa maelezo yake iko #moja tu Afrika Mashariki ndio anayoitumia kufundishia wanafunzi hao (Viziwi) vifaa vyote kwa hisani ya #Denmark, Tanzania, Arusha. Kaa tayari kwa vipindi mfululizo kuhusu watu wenye mahitaji maalumu (viziwi) mbashara kupitia #Elimu Afrika.

"Jitahidi kujielimisha kwa kadri ya uwezo wako na kutumia elimu hiyo kwa faida ya wote"

Tufuatilie kupitia, Instagram: @elimuafrika, Facebook: Elimu Afrika, Twitter: @ElimuAfrika na YouTube: Elimu Afrika  #SiasaIsiingilieTaaluma.

0 Comments