DKT. LALTAIKA KUFUNDISHA KUHUSU STEM NA UBUNIFU KWENYE KONGAMANO LA ELIMU KWA KIDATO CHA SITA


Mh Daniel Urioh, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Elimu Afrika akutana na kufanya mazungumzo kuhusu Kongamano la Elimu kwa Kidato cha Sita na Mhadhiri wa NM-AIST Dkt. Eliamani Laltaika.

Dkt. Eliamani Laltaika amethibitisha kuwepo, hivyo wanafunzi wakae mkao wakupokea mambo bora.

Elimu Afrika inakushukuru sana Dkt. Eliamani kwa utayari wako kuwekeza kwa taifa la sasa na lijalo.

0 Comments