Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Arusha Jaffary Juma Mtoo ang'ara kwenye mashindano ya michezo ya vijana wenye umri chini ya miaka 17.
Mtoo ameifungia timu yake bao dakika ya 78 na kuiongezea nguvu zaidi timu ya Tanzania dhidi ya Sudani, mechi ilichezwa uwanja wa Muyinga nchini Burundi.
Elimu Afrika, Arusha.
0 Comments