PROF ESTHER MWAIKAMBO MWANAMKE KIONGOZI KWENYE ELIMU.


Prof Esther Mwaikambo ni Mwanamke wa kwanza kuwa daktari wa Tiba Tanzania (1969).

Pia ni mwanamke wa kwanza kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya watoto Tanzania (1977). Ni mwanamke wa kwanza kuwa Profesa katika fani ya Tiba Tanzania (1993).

0 Comments