Mh Daniel Urioh, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Elimu Afrika akutana na kufanya mazungumzo na Waanzilishi wa kituo cha Televisheni mtandaoni cha Atown TV, Gerald na Elizabeth.
Pamoja na mambo mengine wamethibitisha kuwepo kwenye KONGAMANO LETU, hivyo watanzani wakae mkao wakupokea mambo mbashara siku hiyo.
Tunakushukuru sana kwa utayari wenu kuwekeza kwa taifa la sasa na lijalo.
0 Comments