ZIARA YA WANACHUO KWENYE KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI



Kaimu Mhariri wa Habari wa gazeti hili, Mgaya Kingoba akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa mkoani Iringa ambao walitembelea Makao Makuu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tazara Dar es Salaam juzi, kwa ajili ya ziara ya mafunzo.

0 Comments